29 Aug 2014

VODACOM TANZANIA (WHISTLE BLOWING)

WHAT YOU DO ITS NOT FAIR AT ALL

Imefika muda imebidi niongee hili suala hadharani

Kwanini department mnayohusika na FRAUD issue inapotokea mtu mwenye cheo cha juu amekutwa na hatia hapelekwi polisi kama mnavyofanya watu wa chini?
Kifupi mnamuangusha Managing Director wenu wa Vodacom Tanzania,Rene Meza ambaye anahisi ana team nzuri chini yake

Kama mtu wa cheo cha juu Healing mnaifanya mnavyotaka nyinyi ,mwisho wa siku inasikika juu juu tu kuwa amekuwa suspended,
Mfano juzi tu HR wenu mmoja kakutwa na hatia (FRAUD ISSUE) mpaka sasa kesi mmewapa wengine lakini mtu huyo mnaprotect badala ya kumshitaki kama walivyofanyiwa wengine,

Sisi kama wateja je tuogope kuweka PESA zetu kwenu? kwani mwisho wa siku hakuna kitu kitachofanyika

Kwa makampuni mengine tunaona inakuwa fair kidogo mfano mmeona aliyekuwa mkurugenzi wa TBS, nyinyi mmezidi aisee , 

Marafiki zangu wote ambao mnafanya kazi na msiofanya kazi najua hili suala tutalichukulia umakini zaidi, TUPULIZE FILIMBI na TUSILIFUMBIE MACHO hata kidogo kwani tunataka sehemu zetu za kazi kuwe na usawa kwenye maamuzi ya cases zinapotokea

Nipo tayari kutaja majina ya wahusika au ushirikiano wowote ambao wanaotaka tufike mwisho kwenye issue hii kwani inanihusu na imenigusa kwani kama sio mimi ni wewe kesho au mwanao itamkuta

Share n Like this post ujumbe uwafikie walengwa

2 comments:

  1. Dhu!....napita tu ila sijui kama ni haki au sawa kupindisha haki mbele ya sheria kamwe hatu wezi pata viongozi wazuri.
    www.hulkshare.com/limbe

    ReplyDelete
  2. Na kitu kingine inaonekana ndani ya vodacom hakuna crominal investigation department. Pole sana.

    ReplyDelete